CHEKI PICHA ZA MATUKIO YOTE YALIOJILI KATIKA MECHI YA GERMANY NA BRAZIL
*Thomas Muller akifunga bao la kwanza la Ujerumani dakika ya 11.* *Muller akishangilia bao lake.* *Mshambuliaji wa Ujerumani, Miroslav Klose akifunga bao la pili dakika ya 23.* *Fernandinho akiuhuzunika baada ya kutingwa bao la 5 na Ujerumani.* *Kilio kimetanda Brazil.* *Kocha Mkuu wa Brazil, Luiz Felipe Scolari akiwa hoi baada ya kipigo.*
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni