AIBU: JE WAJUA BRAZIL YAPIGWA 7-1 NA UJERUMANI
*André Horst Schürrle (katikati) akifurahia na wachezaji wenzake wa Ujerumani baada ya kufunga bao la 7 dhidi ya Brazil.* *MWENYEJI wa michuano ya Kombe la Dunia 2014, Brazil ameyaaga mashindano hayo kwa aibu baada ya kupokea kipigo hevi cha mabao 7-1 kutoka kwa Ujerumani.* *Brazil ameondolewa katika michuano hiyo hatua ya nusu fainali na atalazimika kucheza mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na timu itakayopoteza mechi ya leo kati ya Uholanzi na Argentina.* *Mabao ya Ujerumani ambao wamelichukua kombe hilo mara tatu ni: Muller, 11, Klose, 23, Kroos, 24, 26, Khedira, 29, Schurrle, 69... zaidi »
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni