Jumamosi, Julai 19, 2014

SSC Napoli - Official Page confirm signing of Swansea City Football Club forward Michu on loan, with option to make deal permanent. What impact will the Spanish international have in Naples?

philipp lahm retired

FC Bayern München and DFB-Team captain Philipp Lahm has retired from international football less than a week after lifting the World Cup.
Is there a better full-back in world football?
Tetesi zilizojiri mida hii..
Chelsea inamtazama kwa karibu Raphael Varane wa Real Madrid. Mfaransa huyo analipwa pauni 25,000 kwa wiki, na iwapo mazungumzo ya mkataba mpya hayatafanikiwa anaweza kufikiria kwenda Stamford Bridge ambapo mshahara wake unaweza kuongezwa mara tatu (Daily Mail) Liverpool nao wameingia katika mbio za kutaka kumsajili beki wa kulia wa Atletico Madrid Javier Manquillo, ambaye pia anawaniwa na Arsenal (London 24) na Inter Milan wameonesha nia ya kumchukua Javier Herndandez Chicharito kwa kuwa hayupo kwenye mipango ya Louis van Gaal (Gazetta dello Sport).
LikeLike ·  ·  · 1,356409127

NIMEMALIZA USAJILI" ASEMA MOURINHO

"NIMEMALIZA USAJILI" ASEMA MOURINHO
Boss wa Chelsea, Jose Mourinho amesema amemaliza kununua wachezaji msimu huu baada ya kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Filipe Luis kutoka Atlètico Madrid.
Luis ni mchezaji wa nne mpya kusajiliwa na Mourinhomsimu huu baada ya Cesc Fabregas, Mario Pasalic na Diego Costa.
"Tumefunga biashara leo," amesema Mourinho. "Dirisha la usajili linafungwa Agosti 31, lakini sisi tumefunga Julai 19.
"Klabu yangu imefanya kazi nzuri, sio kwa wachezaji tulionunua tu, lakini pia kwa sababu tumemaliza biashara mapema kabisa."
Chelsea wamekuwa wakihusishwa na wachezaji kadhaa wa bei ghali msimu huu, akiwemo Sami Khedira wa Real Madrid na Radamel Falcao wa Monaco.
LikeLike ·  · Share


rio ferdinand to QPR



Previous
Next

  • been a long day but finally im a player. a new chapter begins. Can't wait to meet the lads & start the season.
  • Yaya Touré pledges tManchester City for sake of the fans

    View this content on The Guardian's website

    Yaya Touré pledges tManchester City for sake of the fans

    o stay at Yaya Touré has vowed to remain at Manchester City and asked for an end to a summer of speculation largely begun by his own agent